Baadhi ya wakulima kutoka bonde la Mtwango Shehia ya Fuoni Kiobondeni wilaya ya mjini mkoa wa mjini magharibi zanzibar, wakiwa katika mafunzo ya vitendo (shamba darasa) katika Chuo cha Mafunzo ya Kilimo mkoani Kilimanjaro (KATC). Wanafunzi hao wanapata mafunzo hayo kwa fedha ya mkopo kutoka Shirika la Kimataifa la Japan (Jica). Picha na Salim Said