Uhamasishaji wa viazi lishe kama njia ya kutatua tatizo la upungufu wa vitamini A umehakikiwa na ushahidi na uchunguzi wa kisayansi. Muhtasari wa matokeo ya tafiti tano zilizochunguza uhusiano wa ulaji wa viazi lishe, upatikanaji na hali ya vitamini A yanawasilishwa kama ifuatavyo
Authors: Adiel Mbabu, Soniia David, Adiel Mbabu, Soniia David
Contributors: Hilda Munyua, Hilda Munyua
Pages: 2
Publication Date: March2012