Share your research and experience, ask and answer questions, meet your peers.

Kuhamasisha Uzalishaji wa Mazao Yenye Viini Lishe Kupambana na Utapiamlo TANZANIA

Hii ni bango kuhusu Kuhamasisha Uzalishaji wa Mazao Yenye Viini Lishe Kupambana na Utapiamlo TANZANIA, kuongeza uzalishaji wa mazo yenye viini lishe kwa usalama wa chakula na lishe, na kupambana na njaa iliyofichika kwa kutumia mkusanyiko wa vyakula mbalimbali vyenye lishe.