Vyote Unavyopaswa Kujua Kuhusu Viazi Vitamu Kitabu cha mafunzo kwa wakufunzi cha mradi wa kuwafikia wadau wa Mabadiliko. Juzuu ya 2 Mada ya 4: Viazi vitamu rangi ya chungwa/njano na lishe. Maelezo ya jumla ya makundi ya chakula na lishe bora yametolewa, ikifuatiwa na mjadala kuhusu madhara ya lishe duni ikiwemo ukosefu wa Vitamini A na matumizi ya uzalishaji wa kidesturi wa kuimarisha mazao kwa njia za kibaolojia. Manufaa ya kula viazi vitamu rangi ya chungwa yameelezewa pamoja na ugumu wa kujaribu kujenga mahitaji kwa chakula ambacho kinasadia kutatua matatizo yasiyotambuliwa na ya mara kwa mara ya ukosefu wa Vitamini A.
Authors: Tanya Stathers, H. Katcher, J. Blakenship, Jan W. Low, Benjamin Kivuva, Tanya Stathers, H. Katcher, J. Blakenship, Jan W. Low, Benjamin Kivuva
Contributors: Hilda Munyua, Hilda Munyua
Subjects: OFSP and nutrition
Pages: 57
Publisher: International Potato Center
Publication Date: 2013
Identifier: ISBN: 978-92-9060-429-7 DOI: 10.4160/9789290604297.v2
Rights: International Potato Center
HOW TO CITE
Stathers, T., Benjamin, M., Katcher, H., Blakenship, J., Low, J. 2013. Vyote Unavyopaswa Kujua Kuhusu Viazi Vitamu: Kitabu cha mafunzo kwa wakufunzi cha mradi wa kuwafikia wadau wa mabadiliko. 2: Viazi vitamu rangi ya chungwa na lishe. Kituo cha Kimataifa cha Viazi (International Potato Center), Nairobi, Kenya. Juzuu la 2.