Vyote Unavyopaswa Kujua Kuhusu Viazi Vitamu Kitabu cha mafunzo kwa wakufunzi cha mradi wa kuwafikia wadau wa Mabadiliko. Juzuu ya 4. Mada ya 6: Uzalishaji na uangalizi wa viazi vitamu inahusu umuhimu wa kupangilia mapema kuhakikisha kuwa vipando vya kutosha vinapatikana mwanzoni mwa msimu wa mvua, matayarisho xvii ya shamba, mbinu za upandaji, kuchanganya mazao, mahitaji ya virutubisho, hatua kuu za makuzi na shughuli za uangalizi zinazohusiana nazo. Mada ya 7: Udhibiti wa wadudu na magonjwa ya viazi vitamu inaelezea ni kwa jinsi gani utambuzi wa mzunguko wa maisha ya wadudu na magonjwa kama vile fukusi wa viazi vitamu (Cylas spp.) na virusi unaweza kuwasaidia wakulima kujifunza namna ya kudhibiti matatizo haya kwa ufanisi. Dalili na mikakati ya udhibiti wa panya fuko na ukungu unaosababishwa na nyenyere pia vinaelezewa.
Authors: Tanya Stathers, Joyce Malinga, Anthony Njoku, Sam Namanda, Ted Carey, Robert Mwanga, Jude Njoku, Richard Gibson, Tanya Stathers, Joyce Malinga, Anthony Njoku, Sam Namanda, Ted Carey, Robert Mwanga, Jude Njoku, Richard Gibson
Contributors: Hilda Munyua, Hilda Munyua
Subjects: Sweetpotato pests and diseases, sweetpotato production and management
Pages: 71
Publisher: International Potato Center
Publication Date: 2013
Identifier: ISBN: 978-92-9060-429-7 DOI: 10.4160/9789290604297.v4
Rights: International Potato Center
Keywords: Integrated crop management, Sweetpotato diseases, Sweetpotato pests, Sweetpotato production
HOW TO CITE
Stathers, T., Carey, E., Mwanga, R., Njoku, J., Malinga, J., Njoku, A., Gibson, R., Namanda, S. 2013. Vyote Unavyopaswa Kujua Kuhusu Viazi Vitamu: Kitabu cha mafunzo kwa wakufunzi cha mradi wa kuwafikia wadau wa mabadiliko. 4: Uzalishaji na uangalizi wa viazi vitamu; Udhibiti wa wadudu waharibifu na magonjwa ya viazi vitamu. Kituo cha Kimataifa cha Viazi (International Potato Center), Nairobi, Kenya. Juzuu la 4.