Share your research and experience, ask and answer questions, meet your peers.

Vyote Unavyopaswa Kujua Kuhusu Viazi Vitamu – Juzuu ya 5

Vyote Unavyopaswa Kujua Kuhusu Viazi Vitamu Kitabu cha mafunzo kwa wakufunzi cha mradi wa kuwafikia wadau wa Mabadiliko. Juzuu ya 5. Mada ya 8: Usimamizi wakati wa mavuno na baada ya mavuno. Uharibifu unaosababishwa wakati wa mavuno na usafirishaji unaweza kupunguza uwezo wa kukaa muda mrefu bila kuharibika na thamani ya viazi vitamu. Ukaushaji wa kupitiliza na uhifadhi wa muda mrefu unaweza kupunguza vyanzo vya karotini vya bidhaa za kukaushwa za viazi vitamu lishe rangi ya chungwa. Utaratibu mzuri wa usimamizi baada ya mavuno na uhifadhi wa bidhaa zilizokaushwa unazungumziwa, na mbinu za kukausha na kuhifadhi viazi vibichi ili kuongeza ubora, thamani na upatikanaji wake pia vinaelezewa.  Mada ya 9: Usindikaji na Matumizi. Bidhaa nyingi za chakula zenye ladha nzuri, virutubisho na uwezekano wa kuwa na faida zinaweza kutengenezwa kutokana na viazi vitamu lishe rangi ya chungwa. Matumizi ya viazi vitamu kama chakula cha wanyama pia yanaelezewa. Mada ya 10: Masoko na ujasiriamali. Dhana za utafutaji soko na, mwelekeo wa soko, ujasiriamali, na mihimili 5 ya utafutaji soko (bidhaa, bei, kunadi biashara na watu) vinaelezewa kuhusiana na viazi vitamu vibichi na bidhaa za viazi vitamu.

 

Authors: Tanya Stathers, Aurelie Bechoff, Jan W. Low, Daniel Ndyetabula, [49], Tanya Stathers, Aurelie Bechoff, Jan W. Low, Daniel Ndyetabula, [49]

Contributors: Hilda Munyua, Hilda Munyua

Subjects: Value chain approach, Sweetpotato utilization

Pages: 107

Publisher: International Potato Center

Publication Date: 2013

Identifier: ISBN: 978-92-9060-429-7 DOI: 10.4160/9789290604297.v5

Rights: International Potato Center

Keywords: Entrepreneurship, Harvesting, Marketing, Post-harvest handling, Processing, Sweetpotato utilization

HOW TO CITE

Stathers, T., Bechoff, A., Sindi, K., Low, J., Ndyetabula, D. 2013. Vyote Unavyopaswa Kujua Kuhusu Viazi Vitamu: Kitabu cha mafunzo kwa wakufunzi cha mradi wa kuwafikia wadau wa mabadiliko. 5: Usimamizi wakati wa uvunaji na baada ya mavuno, Usindikaji na matumizi, Masoko na Ujasiriamali. Kituo cha Kimataifa cha Viazi (International Potato Center), Nairobi, Kenya. Juzuu la 5.