Share your research and experience, ask and answer questions, meet your peers.

Vyote Unavyopaswa Kujua Kuhusu Viazi Vitamu – Juzuu ya 6

Vyote Unavyopaswa Kujua Kuhusu Viazi Vitamu Kitabu cha mafunzo kwa wakufunzi cha mradi wa kuwafikia wadau wa Mabadiliko. Juzuu ya 6. Mada ya 11: Jinsia na masuala anuwai. Umuhimu wa kutambua jinsia na masuala anuwai katika kilimo na mifumo ya viazi vitamu vinaelezewa. Hali ambazo viazi vitamu vinalimwa kama zao la wanawake na hali ambapo viazi vinalimwa kama zao la wanaume, au vinapolimwa na wote wanawake na wanaume zinaelezewa; hii ni pamoja na vikwazo mbalimbali, mahitaji na vipaumbele vya wakulima wanawake na wakulima wanaume. Mapendekezo yanatolewa ya njia bora ya namna jinsia inavyoweza kujumuishwa kwenye programu za viazi vitamu. Mada ya 12: Ufuatiliaji wa usambazaji na upokeaji wa viazi vitamu lishe rangi ya chungwa. Maelezo ya sababu za ufuatiliaji na tofauti baina ya ufuatiliaji na tathmini zinaelezewa. Hii inafuatiwa na wigo wa zana zinazoweza kutumika kwenye ufuatiliaji na usambazaji, utendaji na matumizi ya vipando vya viazi vitamu. Ili kuelewa athari za muda mrefu na mfiko wa mafunzo ya viazi vitamu, ni muhimu kutunza kumbukumbu za nani amekwisha patiwa mafunzo. Kumbukumbu hizi zinaweza kutumika katika shughuli za ufuatiliaji.

 

Authors: Tanya Stathers, Adiel Mbabu, Jan W. Low, Mulongo, Soniia David, Tanya Stathers, Adiel Mbabu, Jan W. Low, Mulongo, Soniia David

Contributors: Hilda Munyua, Hilda Munyua

Subjects: Gender and diversity; Monitoring OFSP dissemination

Pages: 69

Publisher: International Potato Center

Publication Date: 2013

Identifier: ISBN: 978-92-9060-429-7 DOI: 10.4160/9789290604297.v6

Rights: International Potato Center

Keywords: Gender, Monitoring and Evaluation, OFSP dissemination

HOW TO CITE

Stathers, T. David, S., Low, J., Mulongo, G., Mbabu, A. 2013. Vyote Unavyopaswa Kujua Kuhusu Viazi Vitamu: Kitabu cha mafunzo kwa wakufunzi cha mradi wa kuwafikia wadau wa mabadiliko. 6: Jinsia na mambo anuwai; Ufuatiliaji wa usambazaji na upokeaji wa viazi vitamu rangi ya chungwa. Kituo cha Kimataifa cha Viazi (International Potato Center), Nairobi, Kenya. Juzuu la 6.