Vyote Unavyopaswa Kujua Kuhusu Viazi Vitamu Kitabu cha mafunzo kwa wakufunzi cha mradi wa kuwafikia wadau wa Mabadiliko. Juzuu ya 7. Mada ya 13: Kutumia kozi ya mafunzo kwa wakufunzi ya Vyote Unavyopaswa Kujua Kuhusu Viazi Vitamu.Programu ya kina ya siku 10 na siku 5 ya kozi ya Mafunzo kwa Wakufunzi ya kujifunza kwa vitendo inawasilishwa. Inaelezea: Mada zitakazohusika kila siku; matarajio ya somo; mpangilio wa shughuli na muda; na zana na matayarisho ya utangulizi yanayohitajika. Programu hizi hazikusudiwi ziwe za maelekezo na tunatumaini kuwa wawezeshaji watakuwa na ubunifu wa kuzirekebisha kufuatana na matakwa ya washiriki. Mada ya 14: Tafakuri. Ni mategemeo yetu kuwa baada ya majaribio ya kitabu hiki, wakufunzi na washiriki watatafakari na kisha kubadilishana mawazo ya namna ya kuboresha. Tafadhali tuma mapendekezo yako kwa Jan Low j.low@cgiar.org na pale inabobidi, tutayajumuisha katika matoleo mapya.
Authors: Tanya Stathers, Adiel Mbabu, Jan W. Low, Hilda Munyua, Frank Ojwang, Tanya Stathers, Adiel Mbabu, Jan W. Low, Hilda Munyua, Frank Ojwang
Contributors: Hilda Munyua, Hilda Munyua
Subjects: Adult learning
Pages: 136
Publisher: International Potato Center
Publication Date: 2013
Identifier: ISBN: 978-92-9060-429-7 DOI: 10.4160/9789290604297.v7
Rights: International Potato Center
HOW TO CITE
Stathers, T., Low, J., Munyua, H., Mbabu, A., Ojwang, F. 2013. Vyote Unavyopaswa Kujua Kuhusu Viazi Vitamu: Kitabu cha mafunzo kwa wakufunzi cha mradi wa kuwafikia wadau wa mabadiliko. 7: Tafakuri ya ‘Vyote Unavyopaswa Kujua Kuhusu Viazi Vitamu’ TOT course; Reflections. Kituo cha Kimataifa cha Viazi (International Potato Center), Nairobi, Kenya. Juzuu la 7.