Share your research and experience, ask and answer questions, meet your peers.

News and Views

Default news page

Chuo Kikuu kupigia chapuo ulaji viazi vitamu

MKUU wa Idara ya Uchumi Kilimo katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (Sua), Profesa Bendantunguka Tiisekwa, amesema chuo hicho kwa kushirikiana na Kituo cha Utafiti wa Viazi cha Kimataifa (CIP), kimeanza kutekeleza mradi wa matumizi ya viazi vitamu ili kukabili tatizo la upungufu wa vitamini A linalozikabili nchi nyingi za Afrika.

Read More »