Author:
Tanya Stathers, Joyce Malinga et al.
Contributors:
Hilda Munyua
2013
Vyote Unavyopaswa Kujua Kuhusu Viazi Vitamu Kitabu cha mafunzo kwa wakufunzi cha mradi wa kuwafikia wadau wa Mabadiliko. Juzuu ya 4. Mada ya 6: Uzalishaji na uangalizi wa viazi vitamu inahusu umuhimu wa kupangilia mapema kuhakikisha kuwa vipando vya kutosha vinapatikana mwanzoni mwa msimu wa mvua, matayarisho xvii ya shamba, mbinu za upandaji, …
-
Size:
6.3 MB
-
Type:
-
Pages:
71
Read More »