Share your research and experience, ask and answer questions, meet your peers.

Tag Archives: Viazi lishe

BNFB Brief- Vipando Vinne Vya Viazi Lishe Marando ya Dhahabu.

Bw. Julius Kayongola ambaye ni mkulima wa kijiji cha Ilindi alisimulia safari aliyopita hadi kuwa mzalishaji wa kuaminika wa viazi lishe na marando yake. Mwezi Desemba, 2015 mkulima huyu, alikuwa mmoja wa wanufaika wa mafunzo ya uzalishaji wa mbegu na marando ya viazi lishe yaliyoandaliwa na Kituo cha Utafiti wa …

Read More »

Viazi Lishe kwa Uboreshaji wa Afya

Viazi Vitamu ni zao muhimu nchini Tanzania na linashika nafasi ya pili likitanguliwa na zao la mihogo katika mazao ya mizizi. Viazi vitamu vinalimwa maeneo mengi ya Tanzania na kati ya wazalishaji wakubwa ni kanda ya kati ikiwemo Mikoa ya Dodoma na Singida. Kwa asili wakulima wamezoea kulima viazi vitamu …

Read More »